Foreign Exchange Rates

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

CRDB Bank Advert_070325

Monday, 29 December 2014

MKEKA WANUKIA BARABARA YA MIKOCHENI TANESCO MPAKA MSASANI

Maandalizi ya kutandika mkeka wa nguvu katika Barabara ya kutokea Tanesco Mikocheni A mpaka Msasani  kama inavyoonekana pichani. Hii ni sehemu ya maendeleo yanayofanywa na Serikali yetu sikivu.

Siku si nyingi mambo yatakuwa mswano na watu watakuwa wanaleza tu jamvini.

Mmoja wa wataalam wa ujenzi wa barabara hiyo akiangalia kama mambo yako vyema.

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment