Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 29 December 2014

MAANDALIZI YA UJENZI WA NEW KAWE CITY WAENDELEA KWA KASI

Pichani ni maandalizi ya ujenzi wa mradi wa New Kawe City unaoendelea kwa kasi hivi sasa katika eneo la Tanganyika packers, Kinondoni jijini Dar. Mradi huo unasimamiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Camera ya Globu ya Jamii ilikatiza maeneo hayo jioni ya juzi na kujionea maandalizi makubwa ya ujenzi huo ambao wakazi wake watapata makazi bora na ya kudumu kwa bei nafuu.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bwa. Nehemia Mchechu aliwahi kuzungumza kwenye moja ya jukwaa la uwekezaji wa sekta ya nyumba lililofanyika jijini Dar, na kueleza kuwa shirika hilo limedhamiria kuyabadilisha maeneo mengi ya jiji la Dar na mikoa mingine kuwa ya kisasa zaidi.






Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment