Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 6 October 2014

AIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI LEO

Wakurugenzi wote wa Airtel wakiongozwa na mkuu wao Sunil Colaso (kati) wakikata keki leo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaadhimishwa duniani kote kuanzia tareh 6, Airtel imejipanga kuadhimisha wiki hii kwa kuwashukuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Bw Sunil Colaso akiongea na wafanyakazi wote pamoja na wanahabari leo hii (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo katika makao makuu ya Airtel. Airtel inaadhimisha wiki hii kwa kuwashukuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.

Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba akiongea na wafanyakazi wote pamoja na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo katika makao makuu ya Airtel. Airtel inaadhimisha wiki hii kwa kuwashukuru wateja wake wote, kuongeza motishaa kwa watoa huduma wake wote nchini kuendelea kuhudumia wateja, pamoja na kuhamasisha kila mtoa huduma nchini kufahamu umhimu wa mteja.

Meneja wa huduma kwa wateja wa Airtel Bw Deo Hugo akielezea jinsi Airtel ilivyojipanga kutimiza dhamira yake ya kuhudumia wateja vyema hata baada ya wiki ya huduma kwa wateja kuisha, moja kati ya huduma zitakazoendele ni pamoja na kuwatembelea wateja kwenye soko, kuwapigia simu na kujadili nao mambo muhimu ya mawasiliano.

No comments:

Post a Comment