Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 6 October 2014

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKURUGENZI WA AFRIKA WA KAMPUNI YA TE (TE CONNECTIVITY)

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi Mkurugenzi wa Afrika wa kampuni ya TE (TE Connectivity) Bi. Patricia Testa kitabu kinachobainisha fursa za uwekezaji Tanzania. Bi. Patricia amemtembelea Balozi Kamala leo ofisi kwake Brussels kumweleza mipango ya kampuni yake kuingia katika soko la Tanzania. Pamoja na mambo mengine, Balozi Kamala ameishauri kampuni hiyo kushiriki ziara ya Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Ubelgiji itakayofanyika Tanzania mwezi Novemba mwaka huu.

Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment