Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (kushoto) akiwaelezea wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).
Meneja wa Biashara Kubwa na Uwekezaji wa Kibenki wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Justin Wambali (kushoto) akimpa maelezo mtoto, akiwa kama mmoja kati ya wateja watarajiwa juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo walipotembelea banda la benki hiyo katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Afisa Mauzo, Irene Joachim na Afisa Uhusiano, Cosmas Nade (watatu kushoto).
Afisa Uhusiano wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Cosmas Nade akisambaza vipeperushi vyenye maelezo ya huduma mbali mbali zitolewazo na benki hiyo kwa wanafunzi waliopita katika banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment