MkurugenziMtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kuboreshwa kwa huduma za Benki hiyo kupitia simu za kiganjani "Simbanking".
MkurugenziMtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (katikati), akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Esther Kitoka wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu kuboreshwa kwa huduma za Benki hiyo kupitia simu za kiganjani "Simbanking".
Meneja wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Huduma za Kibenki kwa Njia ya Mtandao, Mangire Kibanda akitoa mada kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo ikiwemo huduma za kuhamisha fedha kutoka katika akaunti moja kwenda katika akaunti nyingine kupitia simu ya kiganjani "Simbanking"

Mkurugenzi wa kuzuia vihatarishi CRDB, James Mabula akitoa mada kuhusu usalama katika kufanya miamala.
No comments:
Post a Comment