Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Thursday, 9 February 2023

GEITA GOLD MINING ENGINEERS TOUR KIGONGO-BUSISI BRIDGE PROJECT

Eng. Abdukarim Majuto from Consulting Group of Companies explains a point to Geita Gold Mining Ltd. Engineers, Planners & Technicians.

As science, technology and innovation takes the world to the next level, learning has been suggested as the best approach to incorporate these new interconnected components into our current world. The advanced technology used by engineers around the world in the construction of remarkable underwater projects inspired a site visit to the Kigongo Busisi Bridge.



Spread over 3.2 kilometers across Mwanza Bay and connecting Kigongo in the Mwanza region and Busisi in the Geita region, the bridge is one of most picturesque sites in the country.



Last week, a group of 40 engineers from Geita Gold Mining Limited (GGML) visited the Kigongo-Busisi Bridge as part of the Company's initiatives to develop its workforce through visits and exposure to major engineering projects.

Wednesday, 8 February 2023

BANK OF TANZANIA MONTHLY ECONOMIC REVIEW - JAN. 2023

WASHINDI 7 NMB MASTABATA KOTEKOTE KUPELEKWA DUBAI

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB - Filbert Mponzi (wa pili kushoto) na mwanahabari - Millard Ayo (wa pili kulia), wakibonyeza kitufe cha kompyuta wakati wa droo ya kutafuta washindi saba wa ‘Grand Finale’ ya kampeni ya NMB MastaBata Kote Kote. Wakishihudia ni Mkuu wa Kitengo cha Kadi wa NMB - Philbert Casmir (kushoto) na Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) - Upendo Mfuru.

Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code 'Lipa Mkononi' iitwayo NMB MastaBata 'Kote Kote', imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne inayogharamiwa kila kitu na Benki ya NMB.

Kampeni hii imeendeshwa kwa miezi mitatu na kutoa zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya Sh. Mil. 350 kwa washindi.


Akizungumza katika droo hiyo ya fainali Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB - Filbert Mponzi aliwataja washindi hao kua ni: Upendo Yohana Msanjila (Dar), Edwin Sett Mwakabage (Kilimanjaro), Benigna Xaveria Hyera (Dar), Nazia Abdulsatar Lakha (Dar), John Wayne Lubisha (Dodoma), Chintan Chandrakant Kamania (Dar) na Qamara Rose Aloyce (Arusha).


Kampeni ya NMB MastaBata 'Kote Kote' msimu wa nne ilizinduliwa Oktoba 28 mwaka jana ili kuchagiza matumizi yasiyohusisha pesa taslimu 'cashless'

Kabla ya 'grand finale' hiyo, jumla ya washindi 750 walishinda pesa kiasi cha Sh.100,000 kila mmoja, wengine 98 wakizawadiwa Sh. Mil. 1 kila mmoja, huku washindi 12 wakitwaa bodaboda moja moja zenye thamani ya Sh. Mil. 3 kwa kila moja na washindi wengine wanne wakijishindia safari ya Zanzibar kuhudhuria Tamasha la NMB Full Moon Party.

Kampeni hiyo imekuwa ya mafanikio makubwa kwa kufanikiwa kubadili tamaduni za matumizi ya kadi na QR Code ambayo ni salama, rahisi na nafuu zaidi.

BALOZI WA DENMARK AIPONGEZA BENKI YA CRDB KWA MATOKEO MAZURI YA FEDHA

Balozi wa Denmark nchini, Mette Nørgaard Dissing-Spandet (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (wa kwanza kulia), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori, na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati walipomtembelea ofisini kwake kujadili uwekezaji wa DANIDA ndani ya benki hiyo na Mkakati mpya wa Miaka Mitano wa Biashara wa Benki ya CRDB wa 2023/2028.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa kwanza kulia) akimwelezea Balozi wa Denmark nchini, Mette Nørgaard Dissing-Spandet (wa pili kushoto) juu ya Mkakati mpya wa Miaka Mitano wa Biashara wa Benki ya CRDB wa 2023/2028 wakati ujumbe wa Benki hiyo ulipotembelea katika Ubalozi wa Denmark kujadili mafanikio ya uwekezaji wa DANIDA ndani ya benki hiyo. Ujumbe huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (wa pili kulia), pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (hayupo pichani), Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (wa tatu kushoto), na Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo.

Uongozi wa Benki ya CRDB kupitia Mkurugenzi Mtendaji wake, Abdulmajid Nsekela umekutana na Balozi wa Denmark nchini, Mh. Mette Nørgaard Dissing-Spandet kujadili uhusiano baina ya Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Denmark (DANIDA) na benki hiyo.

Hakuna wakati mzuri wa kujadili uhusiano huo wa kihistoria kama kipindi hiki ambacho benki hiyo kinara wa utoaji huduma za kifedha nchini, imetoka kupata faida kubwa kwa mwaka uliopita.

Ikiivunja rekodi yake yenyewe iliyoiweka kwa mwaka 2021 ya faida baada ya kodi ya takriban Sh268 bilioni na kufikia faida ya Sh353 bilioni kwa mwaka 2022.

Mafanikio hayo yanaelezwa kutokana na jitihada za makusudi za benki hiyo kukuza vyanzo vya mapato yasiyotokana na riba ambapo yaliongezeka kwa asilimia 13 mwaka hadi mwaka na kufikia kiasi cha Sh400 bilioni kutoka Sh354 bilioni.

Nsekela, akifafanua rekodi hiyo, alisema imechagiwa na ongezeko la ufanyaji miamala ya fedha hususan kupitia njia za kidijitali.

Kiujumla, wanahisa wa benki hii, DANIDA akiwa mmojawapo akishirikiana na Serikali ya Tanzania, wanaendelea kuona fahari ya kuwa sehemu ya uwekezaji wa benki inayofanya vizuri kwa kuwa wana uhakika.

EXIM BANK TANZANIA BOARD MEMBER VACANCIES

Tuesday, 7 February 2023

GEITA GOLD MINING HANDS OVER 2 CLASSROOMS WORTH SH.42 MILLION TO KIZIBA PRIMARY SCHOOL

Relations Officer of Geita Gold Mining Limited (GGML), Dorine Denis (right) cuts a ribbon to mark the launch of two classrooms built by the company at Kiziba Primary School located in Mwenegeza Village in Geita district. Dorine represented the Managing Director of GGML, Terry Strong. On the left is Nyakagomba Ward Executive, Christopha Amos.

In support of the government's efforts to improve education and raise the next generation that will help the nation achieve its economic and developmental goals, Geita Gold Mining Limited (GGML) has built and handed over two classrooms to Kiziba Primary School located at Mwenegeza Village in Geita district, Geita Region.



The two classes, worth Shs 42 million, aim to help provide a good learning environment for students whose performance is affected by a difficult learning environment.



Speaking at the handover ceremony at the end of the week in Geita on behalf of the General Director of GGML, Terry Strong, the company's Relations Officer, Dorine Denis said that education is an important pillar of society, so without it, there can be no advancement, “education can change people’s lives and is a focus for our community investment projects.”

MAN UTD ANAKIPIGA NA LEEDS JUMATANO HII NDANI YA DStv

 

Man Utd tena ndani ya michuano ya #EPL ambapo anakipiga na Leeds Jumatano hii.

Kikosi gani kitapata ushindi wa alama 3?

Mteja wa Bomba panda na ulipie kifurushi cha Shangwe TShs. 34,000 tu upandishwe cha Compact ufurahie mechi hii Live ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia

#msimuwasokalakibabe
#PandaTukupandishe

Monday, 6 February 2023

BENKI YA EXIM TAHITIMISHA KAMPENI YA “CHANJA KIJANJA, KIMASTA ZAIDI’’ KWA MAFANIKIO, YATANGAZA WASHINDI WATATU KUELEKEA DUBAI, UTURUKI NA AFRIKA KUSINI

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi na bishara za kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hitimisho la kampeni maalum ya benki hiyo inayofahamika kama “Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi’’ iliyokuwa inalenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki kadi za MasterCard kufanya miamala zaidi kwa kutumia kadi hizo pindi wanapohitaji kufanya malipo mbalimbali katika vituo vya mauzo (POS) au tovuti za biashara ya mtandaoni. Tukio hilo limefanyika jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo Bw. Stanley Kafu (katikati), mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania Joram Mtafya (wa pili kushoto) na ofisa wa benki hiyo Gregory Malembeka (kushoto).

Mkuu wa Idara ya Huduma Mbadala Kupitia Mifumo ya Kidigitali, Bw. Silas Matoi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hitimisho la kampeni maalum ya benki hiyo inayofahamika kama “Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi’’ iliyokuwa inalenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki kadi za MasterCard kufanya miamala zaidi kwa kutumia kadi hizo pindi wanapohitaji kufanya malipo mbalimbali katika vituo vya mauzo (POS) au tovuti za biashara ya mtandaoni. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi na bishara za kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (katikati) na Mkuu wa Idara ya Masoko na (Kulia), Mawasiliano wa Benki hiyo Bw. Stanley Kafu (kushoto)

Asanteni sana! “Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi’’.

Dar es Salaam: February 6, 2023: Benki ya Exim Tanzania imehitimisha kampeni yake ya “Chanja Kijanja, Kimasta Zaidi’’ kwa mafanikio huku ikitangaza washindi wa droo kubwa ya kampeni hiyo waliojishindia safari ya mapumziko yaliyolipiwa gharama zote katika mataifa ya Dubai, Uturuki na Afrika Kusini wao pamoja na wapendwa wao.

Kampeni hiyo ya miezi mitatu ililenga kuwashawishi wateja wa benki hiyo wanaomiliki kadi za MasterCard kufanya miamala zaidi kwa kutumia kadi hizo badala ya malipo ya fedha taslimu pindi wanapohitaji kufanya malipo mbalimbali katika vituo vya mauzo (POS) au tovuti za biashara ya mtandaoni.

Washindi hao John Ren ambae ni mkazi wa Dar es Salaam, Hamza Ngilini, mkazi wa Dodoma na Ntemi Ezekiel mkazi wa Dar es Salaam walipatikana kupitia droo kubwa ya mwisho iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam chini ya usisamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.

Akizungumza mara baada ya kutangazwa kwa washindi hao Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi na biashara kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo alisema mbali na washindi hao wa droo kuu, kupitia kampeni hiyo pia ilishuhudiwa jumla ya washindi 300 wanaotumia kadi za Exim Mastercard kufanya miamala wakijishindia zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu, Simu janja (Smart Phones) kila wiki na kila mwezi.

Sunday, 5 February 2023

BENKI YA CRDB YAKABIDHI KITUO CHA MAWASILIANO OCEAN ROAD

  

Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na cha kwanza kwa hospitali hapa nchini kimekabidhiwa kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla aliekua Mgeni Rasmi katika hafla hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela amesema Benki ya CRDB ni mdau mkubwa wa maendeleo ya sekta ya afya nchini kupitia Sera ya Uwekezaji kwa Jamii (CSI Policy) ambayo inaelekeza Benki kutenga asilimia moja ya faida yake kila mwaka kwa ajili ya kutatua changamoto katika sekta ya afya, elimu, mazingira na uwezeshaji kwa wanawake na vijana.


Katika sekta ya afya Benki ya CRDB imejikita zaidi katika kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto na pia huduma za kibobezi (specialist services), ikiwa ni pamoja na ufadhili wa ujenzi na uboreshaji wa vituo vya afya, wodi za wagonjwa pamoja na utoaji wa vifaa tiba katika vituo vya afaua , zahanati na hospitali mbalimbali nchini.

“Mwaka 2020 Benki ya CRDB ilianzisha mbio za hisani zilizopewa jina la CRDB Bank Marathon kwa lengo la kusaidia jamii kwa kushirikisha wadau mbalimbali. Kupitia mbio hizi mnamo mwaka 2021, tukishirikiana na washirika wetu ambao baadhi tupo nao hapa tulifanikiwa kukusanya takribani Shilingi Milioni 500 ambapo kati ya hizo tulitenga kiasi cha Shilingi Milioni 102 kufadhili ujenzi wa Kituo cha Huduma kwa Wateja chini ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ili kurahisisha ufikishwaji wa huduma, elimu na ushauri juu ya Saratani kwa watanzania wengi” aliongeza Nsekela.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ocean Road, Dkt. Julius Mwaiselage ameishukuru Benki ya CRDB kwa kusaidia ujenzi wa kituo hiko cha mawasiliano ambacho kinakwenda kuisaidia katika kutekekeleza malengo ya kuanzishwa kwake hususan upande wa kuongeza uelewa wa ugonjwa wa Saratani jambo ambalo ni muhimu katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

“Tunaishukuru Benki ya CRDB sambamba na washirika wake Sanlam, Strategis na Alliance Insurance pamoja na wakimbiaji zaidi ya elfu 5 ambao kwa kushiriki kwao katika marathon ile ya mwaka 2021 leo tumeweza kuwa na kituo hiki cha kisasa ambacho kinakwenda kuokoa maisha ya Watanzania” alsema Dkt. Mwaiselage.


Makabidhiano hayo yalitanguliwa na matembezi ya hisani yalioongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe, Amos Makalla yamefanyika katika maadhimisho ya siku ya saratani duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Dar es Salaam yakilenga kuongeza ufahamu wa ugonjwa wa saratani.

Saturday, 4 February 2023

NMB YAFADHILI ZIARA YA MAFUNZO YA MACHINGA, BODABODA DAR NCHINI RWANDA


Benki ya NMB imefadhili ziara ya siku tano ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) na Waendesha Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wanaoondoka nchini Jumatatu Februari 6, kwenda Kigali, Rwanda.


NMB imekabidhi tiketi 12 za kwenda na kurudi Rwanda kwa wajasiriamali hao 10 na viongozi wawili, watakaoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogoro na Katibu Tawala Msaidizi - Uchumi na Uzalishaji, Dk. Elizabeth Mshote.


Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, ambako Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa NMB, Benedicto Baragomwa, alimkabidhi tiketi hizo Mkuu wa Mkoa, Mhe. Amos Makalla, ambaye ni mbunifu wa wazo la kupeleka viongozi hao Kigali, kujifunza namna sahihi za kuendesha biashara zao na Sekta ya Usafirishaji wa bodaboda.


Akizungumza katika hafla hiyo ya kuwaaga, RC Makala aliipongeza NMB kwa kukubali kufadhili safari ya viongozi hao wa makundi hayo muhimu katika mpango mkakati wake wa kuipandisha Dar es Salaam kutoka nafasi ya sita kwa usafi barani Afrika, kuwa namba moja - inayoshikiliwa na Kigali hivi sasa.

NMB BANK OFFERS 12 RETURN TICKETS TO FACILITATE A 5-DAY STUDY TRIP FOR TWO SPECIAL GROUPS IN KIGALI


NMB Bank recently handed over 12 return tickets to facilitate leaders of two special group that include petty traders popularly known as ‘machingas’ and ‘bodabodas’ operating in Dar es Salaam set to embark on a five-day learning tour to Rwanda’s capital Kigali that commences on February 6, 2023.


The trip initiated by the Dar es Salaam Regional Commissioner Amos Makala a few months back seeks to give the special groups’ leaders on-hands experience on how to manage and operate their activities in a well-organized manner thus improving their efficiency.


Speaking during the handover ceremony held in Dar es Salaam recently, the NMB Bank Chief Internal Auditor Benedicto Baragomwa during the event said the bank believes the unique study trip will be a catalyst for the smooth operations of activities in Dar es Salaam city.

Thursday, 2 February 2023

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAPATA FAIDA, UKWASI WAZIDI KUKUA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemiah Kyando Mchechu akizungumza na vyombo vya habari NHC Kambarage House Jijini Dar e Salaam jana.
  • Mkurugenzi Mkuu asisitiza kusimamia nidhamu ya utendaji kazi ndani ya Shirika
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limepata faida kabla ya kodi na kufikia kiasi cha shilingi bilioni 92.9 ikilinganishwa na miaka iliyopita.

Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemiah Kyando Mchechu alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari NHC Kambarage House Jijini Dar es Salaam. Lengo na Mkutano likiwa ni kuelezea mafanikio na mizania ya Shirika kwa mwaka 2021/2022 na kuelezea mwelekeo wa Shirika kwa Mwaka 2023.

“Shirika limeendelea kuongeza faida kabla ya kodi na kufikia kiasi cha shilingi bilioni 92.9 (2021: faida ya TZS 93,966 bilioni). Aidha, mwaka 2020/2021 faida ilishuka kutokana na kushuka kwa hali ya soko la nyumba nchini,” Alisema Mchechu.

Alisema kuwa hata hivyo, faida halisi inayotokana na shughuli za Shirika iliongozeka hadi kufikia shilingi bilioni 60.7 mwaka 2021/2022 kutoka shilingi bilioni 31.7 mwaka 2020/21. Ongezeko hili lilienda sambamba na ongezeko la majengo.

Amesema kwamba hali ya soko la nyumba imeanza kuimarika na kwamba ni matarajio ya Shirika kuwa mwaka wa fedha 2022/2023 litaendelea kupata faida kubwa.

NHC ASSETS HIT 5 TRILLION, PLANS JOINT VENTURES

NHC Director General, Nehemiah Mchechu.

National Housing Corporation (NHC) total assets value peaked at TShs. 5.04 trillion as of 30 June 2022 as a result of implementation of various projects.

NHC Director General, Nehemiah Mchechu made this observation at a press briefing in Dar es Salaam yesterday, setting out the Corpooration's performance and annual financial statements.

Financial statements from accounts audited by the Controller and Auditor General (CAG) show that NHC's total assets value grew at 12 per cent annually since 2019, he said, noting that the balance sheet includes assets like buildings and titled land it is yet to develop.

BANK OF TANZANIA MONETARY POLICY COMMITTEE STATEMENT - 31 JANUARY 2023

GEITA GOLD MINING TO TRAIN 50 GRADUATES FOR EMPLOYABILITY


Geita Gold Mining Ltd (GGML) undertakes to offer internship opportunities to fresh Tanzanian graduates of various disciplines, to take place at Geita Gold Mining Limited, Geita Tanzania, with the aim of “Enhancing Graduates Employability in Tanzania.”



GGML Internship Programme has been a strong supporter to the government initiatives to enhance graduates’ employability in Tanzania, having implemented internships and other graduate programmes for several years. GGML is contributing towards skills development in Tanzania by providing graduates with opportunities to gain work experience in various skills areas. The internship Programme provides an opportunity to unemployed graduates to gain meaningful work experience that will complement their studies and provide them with experience that could help them gain access to the labor market.



“The internship programme is implemented for twelve (12) months period and this year GGML has offered internship to 50 graduates, 30 females and 20 males. We would like to wish them all the very best as they report today to their different departments,” said Terry Strong, Managing Director Geita Gold Mining Limited.

NMB YASHIRIKI KILELE CHA WIKI YA SHERIA DODOMA

Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi akisalimiana na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi.



Wednesday, 1 February 2023

BENKI YA CRDB YAHITIMISHA MKAKATI WA MIAKA 5 KWA KISHINDO


Mara nyingi si rahisi kwa taasisi kufanya mabadiliko makubwa ya uongozi na kuendelea kupata mafanikio hasa pale kunapokua na kiongozi aliedumu kwa kipindi kirefu na kuacha alama kubwa. Lakini hali imekua tofauti kwa Benki ya CRDB ambapo takribani miaka minne imepita tangu Abdulmajid Nsekela alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ambapo benki hiyo imeendelea kupata mafanikio kila uchao na kukamata nafasi kubwa katika soko la Tanzania na Burundi.

Taarifa za fedha za robo ya mwisho ya mwaka 2022 zinadhihirisha mafanikio makubwa yaliyopatikana kwa mwaka 2022 ambao ulikua mwaka wa mwisho wa utekelezaji wa mkakati wake wa Benki wa miaka mitano wa mwaka 2018 hadi 2022.

Kutokana na faida nzuri iliyopatikana ndani ya kipindi hicho ambayo imeongezeka kwa takriban mara 10, gawio kwa wanahisa nalo limepanda.

Taarifa za fedha za CRDB, zinaonesha mwaka 2022 ambao ulikua mwaka wa mwisho wa utekelezaji wa mpango mkakati wa biashara, kulikuwa na ufanisi katika maeneo karibu yote.

Faida baada ya kodi iliongezeka kwa asilimia 31 na kufika Sh353 bilioni mwaka 2022 kutokana na juhudi makini zilizoelekezwa katika ukuza mapato yasiyo yasiyotokana na mtaji.

MAN. UNITED TENA NDANI YA CARABAO CUP

Man United tena ndani ya Carabao Cup!

Kifurushi ni kile kile cha Poa TShs. 10,000/= tu kinachokupa kutazama mechi hii Live ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi kifurushi chako ili usikose mtanange huu.

#MsimuWaSokaLaKibabe
#PandaTukupandishe

NMB LAUNCHES UMEBIMA SEASON THREE TO BOOST INSURANCE LITERACY

Mbeya Regional Commissioner, Juma Homera (second right) and the Commissioner of Tanzania Insurance Regulatory Authority, Dr. Baghayo Saqware (second left) wave flags as a sign of launching the NMB Umebima Campaign 2023. The campaign is aimed at widening the reach of insurance protection via NMB branches across the country. On the right is NMB Bank Chief of Retail Banking, Filbert Mponzi and on the left is NMB Bank Head of Bancassurance, Martine Massawe.

In a move seeking to drive financial inclusion through increased uptake of insurance services, NMB Bank on Monday launched the third edition of the Umebima insurance literacy and awareness campaign in Mbeya.

Like its predecessors, the new risk management educational drive will be a nationwide expedition whose ultimate goal is to support the national inclusive insurance agenda.

Speaking at the event to inaugurate Umebima 2023 at Mwanjelwa-Kabwe in Mbeya City, NMB officials said the initiative was in line with aspirations of the government to enlighten the public on insurance matters and increase uptake of the service’s policies.

The Chief of Retail Banking and Business, Mr Filbert Mponzi, said the current insurance penetration rate of 1.6 per cent was unfavourably low hence the need to mobilise more people to cover themselves and insure their properties against risks.

Mr Mponzi said principally the Umebima campaigns seek to address that anomaly by mostly educating excluded and underserved segments of society on the relevance and benefits of insuring both life and property.

He told the Umebima launch gathering that since obtaining the bancassurance licence in 2020, NMB has been tirelessly championing insurance awareness and the outcome of the venture has been impressive.

TANZANIAN TYCOON MO DEWJI CLIMBS AFRICA'S RICH LIST


Tanzanian tycoon Mohammed Dewji, better known as Mo Dewji, has climbed the list of wealthiest people in African continent from the previous 15th slot to 13th position, according to the latest Forbes’ Magazine.

The Tanzanian philanthropist, who signed the Giving Pledge in 2016, promising to donate at least half his fortune to philanthropic causes, has maintained his wealth at the tune of US dollars 1.5 billion.

The president of Mohammed Enterprise Tanzania Ltd (MeTL), was ranked 15 in the previous Forbes list of Africa’s dollar billionaires, becoming the youngest dollar billionaire in the continent at the age of 46 years.

According to the list, Mo Dewji is the only billionaire in East Africa who appeared in the list. According to information released by his office, the Tanzanian businessman created 7,000 new jobs, bringing the total number of jobs to 35,000 last year from 28,000 in 2021.

Mo Dewji, who grew up in Singida, and studied finance and international business and theology for his university degree at Georgetown University in the US, has been quoted several times as saying that growing up, he always wanted to become wealthy but as time went by he realised that money was not the most important thing.

MID-SIZED BANK RECORDS PROFIT GROWTH IN 2022 AS ASSET BASE GROWS EXPONENTIALLY FOR DCB COMMERCIAL BANK PLC

DCB Commercial Bank Managing Director, Isidori Msaki.

Dar es Salaam, February 1, 2023 - DCB Commercial Bank Plc has registered a sizable growth in its profit during the financial year 2022, accompanied by an impressive expansion of the asset base as the bank’s deposit also swelled considerably.

The bank recorded a Profit Before Tax (PBT) of TZS 2.25 billion, ahead of the previous year’s comparative PBT of TZS 1.06 billion, translating to a growth of 112%. This growth resulted from an 11% growth in total income, attributed to increasing interest income which grew by 4% to TZS 28.61 billion (2021: TZS 27.62 billion) and non-interest income which increased by 45% year on year (YoY) from TZS 7.2 billion to TZS 10.4 billion in 2022.

DCB Commercial Head Office building in Magomeni, Dar es Salaam.

“The bank grew its non-funded income during the year, focusing on trade financing activities, foreign exchange business, and increased transactional fees due to the enhanced features and increased usage of digital banking platforms,” said DCB Acting Chief Financial Officer (CFO), Mr. Siriaki Surumbu.

The bank solidified its position as a mid-sized bank seeing its balance sheet position surpass the TZS 200 billion mark, with its total assets reaching TZS 214 billion in 2022. This is a 61% growth over the past five years, stemming from the 2018 asset base valued at TZS 133 billion.

Gross loan book of the bank closed at TZS 130.36 billion in 2022, being 4% growth year-on-year from TZS 125 billion in 2021. Its investment in government securities grew by 44% to reach TZS 41 billion from TZS 28 billion in 2021. The bank’s deposits grew by 11% from TZS 150 billion in 2021 to TZS 165 billion in 2022, a product of the bank’s calculated efforts to grow its customer base.

NMB YAZINDUA UMEBIMA 2023 KUTOA ELIMU ZAIDI YA BIMA

Kutoka Kushoto: Mkuu wa Idara ya Bima - Benki ya NMB, Martine Massawe; Kamishna wa Bima nchini, Dkt. Baghayo Saqware; Mkuu wa Mkoa wa Mbeya - Mhe. Juma Zuberi Homera na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara NMB, Filbert Mponzi wakizundua kampeni ya Umebima jijini Mbeya.


Katika azma yake ya kuchangia ujumuishi wa kifedha nchini kupitia huduma za bima, Benki ya NMB Jumatatu wiki hii imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya elimu na uelewa wa masuala ya bima ya Umebima jijini Mbeya.


Kama ilivyokuwa kwa misimu ya awali, mchakato wa Umebima wa mwaka huu ni wa kitaifa na lengo lake kuu ni kuunga mkono ajenda ya taifa ya bima kwa wote.


Wakizungumza kwenye hafla ya uzinduzi huo iliyofanyika Mwanjelwa-Kabwe, maafisa wa NMBwalisema kampeni hiyo inashabiiana na malengo ya serikali ya kuongeza uelewa wa masuala ya bima na kuongeza matumizi ya huduma zake.


Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Bw. Filbert Mponzi, alisema kwa sasa uelewa wa bima nchini ni mdogo sana na kusisitiza kuwa bado kuna kazi kubwa kuhakikisha watu wengi zaidi wanakata bima kujikinga na majanga ili kuboresha kiwango cha asilimia 1.6 cha kusambaa kwa huduma hizo.


Aidha, alibainisha kuwa kimsingi kampeni ya Umebima imejikita kuyakabili mapungufu hayo kwa kuuelimisha umma kuhusu umuhimu na faida za bima hasa kwa wale ambao hawajafikiwa na huduma hiyo au kufahamu uwepo wake.


Bw Mponzi alisema tangu NMB ipate leseni ya uwakala wa bima mwaka 2020 imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia kuongeza uelewa wa bima nchini na sasa hivi watu wengi wanazidi kukata bima na kuwa na kinga ya uhakika dhidi ya majanga.