Dodoma, Mlimwa, 27.04.2025: Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam, Bw. Peter Nalitolela atembelea Ofisi ya Waziri Mkuu na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb.) ambapo waligusia juu ya Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kuwezesha serikali, mashirika, halmashauri na manispaa za miji kupata fedha zaidi za kukamilisha miradi, lakini pia alisisitiza utolewaji wa elimu kwa Umma juu ya fursa zilizopo DSE ili kuweza kufanikisha lengo la serikali katika sera ya uchumi jumuishi.
#DSE
#WaziriMkuuBingwa
#MiradiYaMendeleoe
#UstawiWaJamii
#TanzaniaImara
#DSEHisaKiganjani
No comments:
Post a Comment