| Afisa wa M-Pesa kutoka Vodacom Tanzania Plc, Mkoa wa Dodoma, Musa Kushoka (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000/- kwa mshindi wa droo ya sita ya kampeni ya Ni Balaa! Kila mtu ni mshindi, Bw. Felician Mgimba (kulia) katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika jijini Dodoma mwishoni mwa wiki. Endelea kufanya miamala na kununua vifurushi ili uweze kuibuka mshindi. |
No comments:
Post a Comment