Foreign Exchange Rates

Equity Bank Advert_12 February 2026

CRDB Bank Advert_070325

Global Sanctions Compliance Masterclass

Monday, 12 February 2024

BENKI YA NMB YAKUTANA NA VIONGOZI OFISI YA WAZIRI MKUU


Ujumbe kutoka Benki ya NMB ukiongozwa na Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki kwa Serikali na Ofisi ya Makao Makuu Ndogo ya Dodoma, Bi. Vicky Bishubo kwa nyakati tofauti umemtembelea Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Uratibu na Bunge, Dkt. Jim Yonazi pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Anderson Mutatembwa na kufanya mazungumzo ambayo yanalenga kuimarisha uhusiano kati ya Benki ya NMB na Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Uratibu na Bunge.

Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Waziri Mkuu - Sera, Uratibu na Bunge zilizopo Jijini Dodoma hivi karibuni.











No comments:

Post a Comment