Masta Shangwe (mwenye kofia ngumu) kutoka Vodacom Tanzania PLC akikabidhi luninga kwa mshindi wa kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, pamoja na George Venanty, Meneja wa Vodacom Kanda ya Kaskazini (kushoto) katika viwanja vya Kilombero mkoani Arusha mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo. |
No comments:
Post a Comment