| Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mh. Dkt. Hussein Mwinyi akimkabidhi tuzo ya banda la utoaji huduma bora kwa kundi la makampuni ya simu, Meneja Msimamizi wa Huduma za Uwezeshaji na Upatikanaji wa Vodacom Tanzania PLC, Edward Byampanju wakati wa kuhitimisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Sabasaba, Julai 13, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Bi. Latifa Khamis, kushoto. |
No comments:
Post a Comment