Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926

Absa Banner_170926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Wednesday, 12 July 2023

USIKOSE SHOW KALI YA DIVAS & HUSTLAS NDANI YA DStv



Kusubiri kumekwisha kabla ya Kiki Mikiki ya show kali ya Divas & Hustlas kuanza.

Show hii itakua inaruka Alhamisi kupitia chaneli ya Maisha Magic Bongo 160 inayopatikana kupitia kifurushi cha Bomba TShs. 24,000/= tu ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi.

#tamthilinidstv
#Unakosaje

No comments:

Post a Comment