Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 17 March 2023

MANDONGA NDANI YA DStv MAISHA MAGIC POA


"Hutaki unapigwa... Unataka unapigwa" Mandonga Mtu Kazi ndani ya @dstvtanzania pekee!

Usipitwe na pambano kali la Mandonga mtu kazi dhidi ya bondia kutoka Uganda ambapo pambano hili litasindikizwa na mapambano ya utangulizi yatakayoshirikisha mabondia kutoka Afrika Mashariki na Afrika Kusini.

Ni ndani ya kifurushi cha Poa kwa TShs 10,000 tu kupitia Chaneli ya Maisha Magic Poa, 144.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema ufurahie pambano hili LIVE.

No comments:

Post a Comment