Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Monday, 20 March 2023

KARIM MANDONGA FIGHT NIGHT NDANI YA DStv!!!



Zimebaki siku 5 tu kuelekea mpambano mkubwa utakaokutanisha mabondia kutoka Kenya, Tanzania, Uganda na South Africa.

Kaa tayari kumshuhudia Karim Mandonga akichapana na Kenneth bondia kutoka Uganda!

Lipia mapema kifurushi cha Poa cha TShs 10,000/= tu ili kutazama mpambano huu LIVE ndani ya @dstvtanzania pekee.

No comments:

Post a Comment