Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia), Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt. Asha-Rose Migiro, wakifuatilia matukio ya Mkutano kati ya Ujumbe wa Tanzania na baadhi ya Wawekezaji na wafanyabiashara Jijini London, Uingereza.
|
No comments:
Post a Comment