| Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (katikati) akiteta Jambo na Kaimu Meneja Tawi la NMB Wami, Paul Nyoni baada ya kupokea Cheti cha shukrani wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 12 wa mwaka wa kitaaluma wa wahariri wenye kauli mbiu ya "Sheria ya habari na maendeleo ya vyombo vya habari" unaofanyika mkoani Morogoro. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deudatus Balile na Makamu Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri, Bakari Machumu (kulia kabisa). Benki ya NMB ilishiriki kama mdhamini kwenye mkutano huo unaoendelea Hoteli ya Morena, Morogoro. |
No comments:
Post a Comment