Mwakilishi kutoka Benki ya Exim Tanzania - Frim Paul (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya benki hiyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar - Jamal Kassim ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha maandalizi ya tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2010 (Best Presented Financial Statements for the Year 2021 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA - CPA Pius Maneno. Tuzo hizo zilitolewa jijini Dar es Salaam hivi karibuni. |
No comments:
Post a Comment