CHANELI ZA KOMBE LA DUNIA 2022 NDANI YA DStv
Mchaka mchaka kuelekea Kombe la Dunia 2022 unazidi kushika kasi!
Na hivi ndivyo chaneli zilivyopangwa kuhakikisha unapata mechi zote 64!
Uhakika wa kutazama mechi zote 64 unaupata ukiwa una DStv na umelipia kifurushi cha Compact.
Ikiwa hujajiunga, wahi sasa na ujinge kwa TShs 79,000/= tu ujipatie Full set pamoja na ofa ya kifurushi cha Compact kwa mwezi mzima bure.
Piga 0659 07 07 07 kujiunga!
#HiiNiKwaKilaShabiki
No comments:
Post a Comment