Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi wa Benki hiyo, Jesca Njau wakiwa na tuzo zao walizoshinda katika usiku wa tuzo za Top 100 Executive zilizofanyika tarehe 27 Novemba 2022 katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshekanabo (wa nne kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi wa Benki hiyo, Jesca Njau (wa nne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wengine wa benki hiyo usiku wa tuzo za Top 100 Executive zilizofanyika tarehe 27 Novemba 2022 katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es salaam.Furaha baada ya ushindi.
No comments:
Post a Comment