JELA MIAKA 5 KWA WIZI WA MAUDHUI YA DStv
Mahakama ya Wilaya ya Karagwe imewahukumu watu wawili David Peter Sembosi na Sebastian John kifungo cha miaka 5 jela au kulipa faini ya shilingi milioni 20 kwa kosa la kusambaza maudhui mali ya DStv bila kibali. Kitendo hiki ni kinyume cha sheria ya Hakimiliki na makosa ya kimtandao.
No comments:
Post a Comment