Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Tanzania Commercil Bank TCB, Adolphina William akizungumza wakati wa semina maalum kwa wastaafu iliyoandaliwa na TCB kwa wastaafu wote wa jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndoto zao. Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Karume uliopo katika viwanja vya Sabasaba. Wengine pichani ni Maafisa kutoka TCB".
Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Metropolitan Lilian Mbaya, akitoa huduma kwa mteja wa Benki hiyo ambae pia ni mstaafu wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwa ajili ya wastafu wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya Sabasaba.
Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Kariakoo Faraji Basso akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwa ajili ya wastafu wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya Sabasaba.
Meneja wa Tanzania Commercial Bank akizungumza na wazee wastaafu waliohudhuria Semina iliyoandaliwa na TCB kwa ajili ya wastaafu wa jiji la Dar es Salaam.
Meneja Mwandamizi wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Ramadhani Mganga akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwa ajili ya wastaafu wa jiji la Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Theresia Soka akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwa ajili ya wastaafu wa jiji la Dar es Salaam.
Meneja Mwandamizi Idara ya Mikopo wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Joanitha Deogratias (kushoto), akitoa huduma kwa wazee wastaafu zaidi ya 5,000 waliojitokeza kwenye Semina iliyoandaliwa na TCB.
No comments:
Post a Comment