MULTICHOICE ANNOUNCES MCHECHU AS BOARD DIRECTOR

MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022.
Tunamkaribisha sana na tuna imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya Wakurugenzi mahiri hapa nchini.
No comments:
Post a Comment