| Mkurugenzi wa Dijitali na Huduma za Ziada Vodacom Tanzania Plc, Nguvu Kamando akizungumza na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali nchini waliohitimu mafunzo ya Tehama yaitwayo "code like a girl" yanayolenga kuwajengea uwezo katika Tehama na kubuni tovuti, ambayo yameandaliwa na DLab Tanzania na kufadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc. |
No comments:
Post a Comment