Mshindi wa gari la nne kupitia shindano la Vodacom Tusua mapene, Editha John mkazi wa mufindi-Iringa akifungua mlango wa gari lake jipya aina ya Suzuki S Presso alilojishindia katika shindano la Tusua Mapene baada ya droo iliyochezeshwa kwenye maonesho ya Nanenane jijini Mbeya na hafla ya makabidhiano kufanyika viwanja vya stendi ya zamani Iringa mjini. Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iringa, Mohamed Moyo aliyemwakilisha mkuu wa mkoa huo na Mkuu wa mauzo Vodacom Kanda ya Nyanda za juu kusini, Ezekiel Nungwi.Ili kujishindia zawadi katika shindano hilo tuma neno V kwenda 15544.
Blog Rebranding Teaser_030826
Absa Banner_170926_270926
Stanbic Bank Banner_070826
Sunday, 14 August 2022
MKAZI WA MUFINDI - IRINGA AKABIDHIWA GARI MPYA SUZUKI S PRESSO BAADA YA KUIBUKA MSHINDI PROMOSHENI YA VODACOM TUSUA MAPENE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment