| Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekonolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Group, Shameel Joosub (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia (katikati) na Afisa Mkuu wa Biashara Kimataifa, Diego Gutierrez kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. |
No comments:
Post a Comment