Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 5 April 2022

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWAFIKIA WANAFUNZI MKOANI KAGERA NA MFUMO WA E-FAHAMU KWA KUWAPATIA ELIMU KIDIGITALI BURE

Mtaalam wa mifumo ya kompyuta kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Omar Amir akitoa maelezo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Rumuli mkoani Kagera namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali mahali popote walipo. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo hivi karibuni imetoa msaada wa kompyuta na pia itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project). Mafunzo hayo yalifanyika mkoani Kagera mwishoni mwa wiki.



Wanafunzi wa shule ya sekondari Rumuli mkoani Kagera wakipata mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali mahali popote walipo kutoka kwa wataalam wa mifumo ya kompyuta wa Vodacom Tanzania PLC. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo hivi karibuni imetoa msaada wa kompyuta na pia itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project).


Wanafunzi wa shule ya sekondari Omumwani mkoani Kagera wakipata mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali mahali popote walipo kutoka kwa wataalam wa mifumo ya kompyuta wa Vodacom Tanzania PLC, mafunzo hayo yaliandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo hivi karibuni imetoa msaada wa kompyuta na pia itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project).

No comments:

Post a Comment