Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 11 March 2022

WATOTO WA WAFANYAKAZI WATEMBELEA BENKI YA NCBA

Margaret Karume, Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya NCBA akitoa neno kwa watoto wa wafanyakazi wa benki ya NCBA walipotembelea benki hio siku ya kimataifa ya wanawake ikiwa ni sehemu ya kujifunza kimatendo.


Picha ya pamoja ya watoto wa wafanyakazi wa benki ya NCBA na Margaret Karume, Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki hiyo.

Watoto wa wafanyakazi wa benki ya NCBA wakiwa dirisha la utoaji huduma kwa wateja kwenye benki ya NCBA kama sehemu yao ya kujifunza kimatendo.




 

No comments:

Post a Comment