Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 9 September 2021

WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA BIA CHA SERENGETI MWANZA WAPATA ELIMU NA CHANJO YA CORONA

Daktari kutoka hospitali ya kanda ya Bugando David Nathan, akitoa elimu kwa wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza juu ugonjwa wa Corona muda mfupi kabla ya wafanyakazi hao kupatiwa chanjo.

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza wakifuatiia kwa makini elimu iliyokuwa inatolewa kiwandani hapo na Daktari kutoka hospitali ya Bugando juu ya ugonjwa wa Corona muda mfupi kabla ya kuanza kwa zoezi la chanjo.
Mfanyakazi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti kilichopo jijini Mwanza West Msita, akiuliza swali wakati wa semina na uelimishaji juu ya ugonjwa wa Corona iliyotolewa kiwandani hapo na Daktari kutoka hospitali ya Bugando.

No comments:

Post a Comment