Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday, 3 June 2021

VODACOM TANZANIA PLC YASHIRIKI UPANDAJI WA MITI KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Dkt Aman Ngusam Mkurugenzi Mkazi WWF (kulia), Mkurugenzi wa Vodacom Foundation (katikati) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania Prof Santos Silaya wakishiriki upandaji wa miti jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea siku ya Mazingira Dunia. Vodacom Tanzania amekuwa ni mshirika mkubwa kwenye utunzaji wa mazingira ikiwa ni pamoja na upandaji wa miti ili kufanya Tanzania sehemu salama ya kuishi.

No comments:

Post a Comment