Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 20 October 2020

VODACOM TANZANIA YATOA VIFAA VYA MATIBABU VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 49 KWA KITUO CHA AFYA INYONGA B MKOANI KATAVI

  • Zaidi ya wanawake 12,000 kufaidika na vifaa vya uzazi
Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia (kulia) akikabidhi moja ya mashine kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) katika Kituo cha Afya Inyonga B, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi kwa Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mlele, Mh. Salehe Muhando mwishoni mwa wiki. Jumla ya vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 49 vilikabidhiwa kutoka Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, vifaa hivyo vitasaidia watoto uwezo wa kupumua, kuwaongezea joto na kuwapa tiba mwanga.
Baadhi ya vifaa mbalimbali vilivyotolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa Kituo cha Afya Inyonga B, wilayani Mlele, mkoa wa Katavi.


No comments:

Post a Comment