Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, Alex Mgeni katika kongamano la wafanyabiashara NMB Business Club lililowakutanisha wadau mbalimbali zaidi ya 900 wakiwemo wajasilimali, wakulima na wafanyabiashara kutoka mikoa mitatu ya Njombe, Iringa na Mbeya katika ukumbi wa Green City mjini Makambako.
Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, Alex Mgeni akielezea namna Benki hiyo imejipanga kuwasaidia wakulima na wafanyabiashara ili kupata mikopo nafuu. |
No comments:
Post a Comment