Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 18 September 2020

TAASISI YA VODACOM TANZANIA FOUNDATION YATOA ZAWADI ZA KOMPYUTA KWA WANAFUNZI WALIOSHINDA BAADA YA KUANDIKA INSHA KUHUSU MAZINGIRA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA TABAKA LA OZONE

Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi wa tabaka la Ozone yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufanyika Jijini Dodoma. Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation ilitoa zawadi za kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya Tsh.13 milioni kwa ajili ya zawadi kwa washindi wa kitaifa wa shindano la kuandika Insha kuhusu uhifadhi wa mazingira.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akikabidhi Kompyuta mpakato (laptops) kwa wanafunzi mbalimbali waliojishindia zawadi kwa kuandika Insha kuhusu uhifadhi wa mazingira wakati wa maadhimisho ya miaka 35 ya uhifadhi wa tabaka la Ozone yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kufanyika Jijini Dodoma.


No comments:

Post a Comment