PAZIA LA LIGI KUU YA UINGEREZA LINAFUNGULIWA LEO NA MECHI KATI YA FULHAM VS ARSENAL NDANI YA DStv
Pazia la Ligi kuu ya Uingereza linafunguliwa leo na mechi kati ya Fulham dhidi ya Arsenal, na DStv inakupa kutazama mechi hii kwa gharama nafuu tu TShs. 19,900 kifurushi cha Bomba.
Hakikisha unalipia mapema kifurushi chako kwa kupiga *150*53# au 0659 07 07 07 kujiunga na DStv kwa gharama nafuu zaidi.
No comments:
Post a Comment