| Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar, Mhe. Balozi, Mohamed Ramia Abdiwawa (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa NCBA Bank, Margaret Karume (kulia), Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali NCBA Bank Tanzania Limited, Gift Shoko wakimkabidhi zawadi mshindi wa jumla wa mashindano ya NCBA Golf Tournament Zanzibar, Ross Owen. Mashindano hayo yameenda sambamba na uzinduzi wa Tawi la Benki ya NCBA mtaa wa Mlandege, hafla ya sherehe ilifanyika Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment