UHONDO WA TAMTHILIA YAKO PENDWA SLAY QUEEN NDANI YA DStv KILA SIKU, JUMATANO - IJUMAA SAA 3:30 USIKU
Uhondo wa Tamthilia yako pendwa Slay Queen unaendelea huku mambo yakizidi kuwa 🔥🔥. Nini kuendelea baada ya Mzee Kasongo kuzama kwenye penzi la mwanafunzi wa Chuo Julieth?
Usikose kutazama Tamthilia hii ya Slay Queen kila siku za Jumatano - Ijumaa saa 3:30 usiku kupitia chaneli ya @maishamagicbongo 160 ndani DStv pekee.
Jiunge sasa na DStv kwa sh TShs. 99,000/= tu kwa kupiga 0659 070707.
#MMBSlayQueen
#TupoNawe
No comments:
Post a Comment