Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Monday 18 May 2020

LIPIA KIFURUSHI CHA DStv SASA, UPANDE DARAJA KWENDA KIFURUSHI CHA JUU BURE!





Lipia kifurushi cha DStv sasa, Upande daraja kwenda kifurushi cha Juu bure!

Katika kipindi hiki kigumu cha COVID-19 ambacho Ulimwengu mzima unapitia, DStv imeamua kuwazawadia wateja wake maudhui mengi zaidi kwa kuwapadisha daraja punde wanapolipia vifurushi vyao. Wateja wote wa DStv kuanzia vifurushi vya Bomba, Family, Compact na Compact Plus watakaolipia vifurushi vyao watapandishwa kwenda vifurushi vya juu yake bila gharama ya ziada ili waweze kuburudika zaidi.

Ili kuipata Ofa hii ya kupandishwa kifurushi cha juu yako, Fanya malipo ya DStv popote ulipo, kupitia namba ya Whatsapp 0677 666 111 au APP ya MyDStv, kisha DStv watakupandisha kwenda kifurushi cha juu yake bila gharama za ziada ambayo ni sawa na punguzo la 35% kutoka kwetu, ikiwa ni shukrani yao DStv kwako wewe Mteja wao!

#ThereForYou

No comments:

Post a Comment