Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 2 March 2020

WAFANYAKAZI WA BENKI YA DCB WASHIRIKI MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON 2020 MJINI MOSHI

Wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya DCB, wakishiriki mbio za Kilomita 21 pamoja na wakimbiaji wengine katika Mashindano ya Kilimanjaro marathon yalifanyika Uwanja wa Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi, Kimanjaro jana.
Wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB, wakipasha viungo kabla ya kuanza mbio za Kilomita 21 za mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro jana.
Baadhi ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB, wakitimua mbio wakati wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi Kilimanjaro jana.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Anna Mghwira (wa pili kushoto) pamoja na baadhi ya wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB wakishiriki mbio za kujifurahisha za kilomita 5 wakati wa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 yaliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Mjini Moshi, Kimanjaro jana.
Wakimbiaji wa Benki ya Biashara ya DCB, wakipiga picha ya kumbukumbu mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kilimanjaro Marathon 2020 katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi, Kimanjaro jana.

No comments:

Post a Comment