Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 11 March 2020

VODACOM YAANDAA SEMINA YA WABUNIFU WA TEKNOLOJIA KWENYE MAADHIMISHO YA WIKI YA UBUNIFU 2020

Mkurugenzi wa Huduma za Kidijitali wa Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kwenye semina ya maadhimisho ya wiki ya ubunifu hivi karibuni. Vodacom imetoa fursa kwa wanavyuo waliomaliza masomo na wenye uwezo wa ubunifu ili kuwawezesha kufikia malengo yao ya ubunifu kwa kushirikiana na SmartLab. Wengine kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Smartlab Tanzania, Edwin Bruno na Muwezeshaji wa mdahalo huo, Tunu Makamula.
Mkurugenzi wa Huduma za Kidijitali wa Vodacom Tanzania PLC, Nguvu Kamando (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kwenye semina ya maadhimisho ya wiki ya ubunifu hivi karibuni. Vodacom imetoa fursa kwa wanavyuo waliomaliza masomo na wenye uwezo wa ubunifu ili kuwawezesha kufikia malengo yao ya ubunifu kwa kushirikiana na SmartLab. Kushoto yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Smartlab Tanzania, Edwin Bruno.
Mkurugenzi Mkuu wa Smartlab Tanzania, Edwin Bruno akizungumza na wadau wa Teknolojia kwenye semina ya wiki ya ubunifu jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.
Wadau wa Teknolojia wakimfuatilia kwa makini mtoa mada.


No comments:

Post a Comment