Katika Maadhimisho yaliyofanyika kitaifa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu mapema leo, NMB imekua miongoni mwa wadhamini wakuu walionogesha maadhimisho hayo kwa kutoa shilingi Milioni 26 ambapo pesa taslimu ni milioni 5 pamoja na fulana zenye thamani ya shilingi Milioni 21.
![]() |
Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika kitaifa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu. |
![]() |
Wakiongozwa na Kaimu Mkuruzenzi wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna kwa pamoja wanasema ‘Usawa kwa Wote’ |
#NMBBankKaribuYako
No comments:
Post a Comment