Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Monday, 9 March 2020

BENKI YA NMB YAAZIMIA KUCHANGIA UPATIKANAJI WA USAWA WA KIJINSIA


Benki ya NMB yaunga mkono kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani #EachForEqual*, ambayo inaangazia Usawa kwa Wote. 

Kwa pamoja wameazimia kuchangia upatikanaji wa Usawa wa Kijinsia duniani na tayari wameanza kufanya hivyo.

Kheriedi ya Siku ya Wanawake Duniani!

#NMBBankKaribuYako
#IWD2020#EachForEqual

No comments:

Post a Comment