Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 4 March 2020

DSTV YAJA KIVINGINE - ‘JIONGEZE TUKUONGEZEE’

‘Jiongeze tukuongezee’

Hapa hakuna kupoa! Baada ya Ofa ya Tia Kitu Pata Vituuz, tunakuletea ofa nyingine Bab'kubwa iitwayo ‘Jiongeze tukuongezee’

Ambapo sasa mteja akilipia kifurushi cha juu yake ataunganishwa cha juu zaidi bila gharama ya ziada.

Kwa kampeni hii mpya iliyoanza rasmi tarehe 1 Machi 2020 na ambayo itaendelea hadi mwisho wa mwezi Aprili 2020, mteja wa kifurushi cha Bomba Tsh 19,000, akilipia cha juu yake ambacho ni Family Tsh 29,000, moja kwa moja ataunganishwa kifurushi cha Compact Tsh 44,000 bila malipo ya ziada. Hivyohivyo mteja wa kifurushi cha DStv Family akilipia Compact, atapandishwa kwenda Compact Plus Tsh 84,000 wakati yule wa Compact akilipia Compact Plus ataunganishwa kifurushi cha juu kabisa cha Premium cha Tsh129,000.

Vigezo na Masharti Kuzingatiwa

#JiongezeTukuongezee


Kwa maelezo Zaidi kuhusu ofa kabambe za DStv tembelea www.dstvafrica.co. ili kuweza kujihudumia kirahisi pakua app ya MyDStv na kwa kupata burudani ya kutazama DStv popote ulipo pakua app ya DStv Now.

No comments:

Post a Comment