Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 3 March 2020

DSTV INAKULETEA RAUNDI YA 5 YA MICHUANO YA FA CUP, NA HAPA SASA NDO SOKA LIMEZIDI KUNOGA

Tunaelekea katika raundi ya 5 ya michuano ya FA Cup, na hapa sasa ndo soka limezidi kunoga, zikiwa zimebaki timu 16 tu na zote zikionekana kujifua vyema kwa kila mechi zitakazozikabili.

@dstvtanzania wanazidi kukusogezea soka hili mpaka sebuleni kwako, kwa mtonyo wa sh 44,000 tu kifurushi cha Compact utapata kushuhudia Live mechi hizi.

Lipia mapema usikose uhondo au piga 0659 070707 kujiunga na @dstvtanzania

#SokaMwaaMwii

#KilaMtuMachoKodo

No comments:

Post a Comment