| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, akitoa maelezo ya mafanikio ya Benki ya CRDB wakati wa mazungumzo hayo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela. Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,13-2-2020. |
No comments:
Post a Comment