| Meneja Mkuu wa Seedspace, Innocent Mallya akifafanua juu ya uvumbuzi wa Teknolojia inayowaunganisha wafanyabaishara (Innovation ecosystem in Tanzania) kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, wakati walipofanya ziara ya kujifunza katika Hubs za Sahara Venture, DTBI, Jenga na Seedspace zote za jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment