Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 8 July 2019

VODACOM YANDAA TAMASHA LA "BRING YOUR KID TO WORK"

Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc wakifurahia michezo mbali mbali katika tamasha la "Bring your Kid to work" lililofanyika makao makuu ya ofisi za kampuni hiyo mwishoni mwa wiki. Kampuni ya Vodacom ni ya kwanza nchini kuandaa tamasha la namna hiyo ambapo watoto wamepata nafasi kuona jinsi wazazi wao wanavyotekeleza majukumu yao ofisini hapo. 

Watoto wa wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc wakifundishwa jinsi ya kutumia platform ya instant School ambayo inawawezesha wanafunzi kupata vitabu vya masomo mbali mbali, katika tamasha la "Bring your Kid to work" lililofanyika makao makuu ya ofisi za Vodacom mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment