| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati) akimtambulisha kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (wa pili kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dkt. Joseph Witts wakati alipowasili katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Wateja wake, iliyofanyika hivi karibuni kwenye hoteli ya Velde, Unguja Zanzibar. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohammed Mahmoud na kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Philip Alfred. |
No comments:
Post a Comment