| Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Exim Ndugu Jaffari Matundu akifafanua jambo kwa wateja wa benki hiyo katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Arusha - Mount Meru Hotel wiki iliyopita. Hafla hiyo iliudhuriwa na wateja wakubwa na wadogo wa benki hiyo yenye matawi 4 jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment