Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya picha, Dkt Charles Kimei alizopiga na Marais wa awamu ya tatu mpaka ya nne pamoja na Marais wa Zanzibar na Burundi, katika dhifa ya chakula cha jioni ya kumuaga Dkt Charles Kimei aliyestaafu hivi karibuni baada ya kuitumikia Benki ya CRDB kwa miaka 21. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, Mke wa Dkt. Kimei Mama Rose Kimei (katikati) pamoja na Mama Sekita Nsekela. Hafla hiyo ilifanyika Januari 26, 2019 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mlimani City jijini Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment