| Mkurugenzi Idara ya Wateja Binafsi na Masoko wa Benki ya Biashara Afrika (CBA), Julius Konyani (kushoto), akimkabidhi Mshindi wa Bajaji katika promosheni ya Shinda na M-PAWA, Bi. Mariam Balawa mkazi wa Kibamba jijini Dar es Salaam, ambapo washindi watano walikabidhiwa bajaji zao na Bi Sophia mkazi wa Bukoba amekabidhiwa kitita cha Shilingi milioni kumi. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika kwenye viwanja vya Benki hiyo Kijitonyama. Anayeshuhudia (kulia) ni Meneja Masoko wa Vodacom, Noel Mazoya. |
No comments:
Post a Comment